Header Ads

Breaking News
recent

RAIS KIKWETE ATUA JIJINI ARUSHA, VIONGOZI WA DINI WAMPONGEZA NA KUMUOMBEA.

Rais Kikwete akipokewa na viongozi mbali mbali wa kidini na kiserikali katika uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro jana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiombewa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro jioni yaa jana Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiombewa dua na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro jana Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.