Header Ads

Breaking News
recent

RAIS KIKWETE AZINDUA JIJI LA ARUSHA RASMI TAREHE 1. 11. 2012.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Rais Jakaya Kikwete akizindua nembo ya jiji jipya la Arusha
Rais Kwete akizindua hospitali maeneo ya Ngaramtoni jijini Arusha...jana.
Hili ndilo jiwe la msingi la mradi wa uboreshaji wa miundombinu lililowekwa na rais Kikwete jana maeneo ya kata ya Levolosi jijini Arusha.   
Rais Kikwete, Magufuli, mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa, Hawa Ghasia na viongozi wengine wakiwa katika uzinduzi wa mradi wa uboreshaji wa miundo mbinu jijini Arusha.
Rais Jakaya Kikwete akishikana mkono wa shukurani na mstahiki Meya wa jiji la Arusha Gaeudence Lymo, ikiwa ni baada ya kuzindua nembo ya jiji jipya la Arusha katika mnara wa azimio la Arusha.
Rais Kikwete akimkabidhi hati ya jiji jipya la Arusha Mstahiki Meya Gaeudence Lymo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea  ufunguo wa kuwa mkaazi wa heshima wa Arusha toka kwa  Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.