Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA...MSANII DIAMOND ALITOA BURUDANI KWA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA..

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Diamond na wachezashoo wake wakiangusha shoo ya ukweli siku ya uzinduzi wa jiji la Arusha.
 Hatimae ndoto ya wakazi wa Arusha sasa imetimizwa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kuzindua rasmi jiji la Arusha.

Wakazi wa Arusha wakiwa na nyuso za kutaka kushuhudia mji wao wa Arusha unakuwa jiji, walichalazwa kwanza na uzinduzi wa mvua ambayo imekuwa ikinyesha katika mikoa mingine lakini jiji la Arusha limekuwa likipigwa dash, hatahivyo kabla ya mheshimiwa Kikwete kuwasili eneo la tukio mida ya jioni hivi, wakazi wa Arusha walikuwa wamenyeshewa visivyo kawaida. Mheshimiwa Kikwete alipata nafasi ya kuzindua hospitali pamoja na barabara za jiji la Arusha.

Hapo chini ni picha za wasanii waliokuwa katika uzinduzi wa kusimikwa rasmi Arusha kuwa jiji.

Baada ya msanii Nakaaya kuangusha shoo alichukuwa picha ya pamoja na msanii Diamond wakiwa backstage.
Majembe haya yoote yalikuwepo ku show love katika uzinduzi wa jiji la Arusha...kushoto ni msanii Nakaaya Sumari, Fido Vato, JCB na BouNako.
Msanii Diamond akiwa na wasanii wenzake leo jijini Arusha.
JCB, NAKAAYA FIDO NA DIAMOND

Victor Machota mmiliki wa Asili Yetu Tanzania blog akiwa sambamba na uzinduzi wa jiji la Arusha tarehe 1.11.2012.
Original komedi nao walitoa burudani safi iliyowavutia wakazi wa jiji la Arusha.
Mpoki akiwa mbele akimwaga vituko vyake.
Joti akijipanga kushtua kijoti Joti.
Diamond akiwa anachombeza Back Stage kabla ya kupanda stejini.
Hivi viatu alivyokuwa ametupia wakati wa shoo yake A CITY.
Diamond akiwa Back stage.


Sniker za Diamond.
Walitangulia kupanda jukwaani stedy show wa Diamond.

Hapa Diamond alikuwa akipanda stejini.
Diamond akitoa burudani kwa wakazi wa jiji la Arusha.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.