Header Ads

Breaking News
recent

ARUSHA KUWA JIJI RASMI LEO, WAKAZI WAFURAHISHWA NA UZINDUZI HUU.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

 
Arusha ni mji wa kitalii wa siku nyingi, kunavuvutio mbali mbali vikiwemo mbuga za wanyama, makumbusho ya Azimio la Arusha na na bidhaa mbali mbali za kitamaduni. Wakazi wa Arusha waisubili sana saa pekee ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dr.

 Jakaya Kikwete kuzindua Rasmi mji wa Arusha kuwa jiji, ziara itaanza katika maeneo mbali mbali ya mji ikiwemo mnara wa Mwenge na hatimae kumalizia katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume hapa mjini Arusha. Kwa picha za sghuli ya leo katika uzinduzi wa Arusha kuwa jiji fuatilia hapa hapa 'Asili Yetu Tanzania blog'.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.