 |
| Anayeonekana katikati ni Dada yake marehemu Sharomilionea wa
kwanza.Kutoka kushoto ni mtoto wa mama mdogo wake na anayefuatia ni mama mdogo
wake. |
 |
| Ndugu za marehemu Sharo Milionea wakiwa wanaomboleza kwa uchungu. |
 |
Huyu kaka alikuwa akilia sana, ni kati ya ndugu wa marehemu wa karibu
hata kuongea alikuwa hawezi.
|
 |
Baadhi ya wasanii wa BongoMovies Irene na Rose Ndauka.
|
 |
| Kaburi ambalo liko nyuma ya nyumbani kwa kina Sharomilionea Tanga,Muheza na hapo
ndipo ambapo mwili wa Sharomilionea ulipopumzika milele. |
 |
| Humu ndimo mwili wa Hussein Sharo Millione ulimolazwa. |
 |
| Watu waliojitokeza kuusindikiza mwili wa Hussein Sharo Millione. |
 |
Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa
ameshikwa mkono wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.
|
 |
| Meneja wa Hussein Sharo Millionea aliyefahamika kama HK akizungumza |
 |
| Hii ndio nyumba ya milele alimolazwa leo Hussei Sharo Millionea kwao mkoani Tanga. |
 |
Wa kwanza ndo rafiki wa karibu wa marehemu ambaye alimuazima
gari lake anajulikana kwa jina la Moud.
|
 |
Mwenye shati jeupe ni Waziri wa Njenje,nyuma Mzee Majuto na
msanii wa maigizo Mzee Chilo.
|
 |
| Mwana FA, Shetta na wasanii wenzao. |
 |
Nape na Viongozi wengine wa CCM walikuwepo.
|
 |
Baadhi ya wasanii na watu wengine wakiwa kwenye eneo ambalo
amezikwa Sharomilionea.
|
 |
Anna Peter,TNG ndani ya Kitaa cha kina Sharomilionea.
|
 |
Watu wengi wa hapo Kijijini walikuwa wanataka kupiga picha
na wasanii baada ya mazishi,hapo ni Kitaani kwa kina marehemu Sharomilionea,ni
Rose Ndauka akiwa na wasanii wa kundi la TNG kutoka Tanga.Mimi,TNG ndani ya
Kitaa cha kina Sharomilionea.Picha kwa hisani ya annapita.com
|
PICHA zaidi zitakujia hivi punde....

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA