Header Ads

Breaking News
recent

MUIGIZAJI MERCY JOHNSON ALIYEIGIZA NA KANUMBA "My Sister" AMESIMAMA KUCHEZA MOVIE.

Nyota huyu wa filamu kutoka Nollywood Mercy Johnson amesimama kucheza movie kwa sababu za ujauzito alionao sasa.

Na hivi sasa amekwisha kamata pipa kuelekea kwa Obama pamoja na mume wake, ataendelea kuigiza baada ya mchakato mzima wa kujifungua utakapomalizika, huko kwa Obama na Michell.

Hapa akiwa bado hajapata ujauzito, watanzania mtakuwa mnamkumbuka Mercy Jonson aliyeigiza movie kadhaa na wabongo ikiwemo "My Sister" aliyocheza na Marehemu Steven Kanumba.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.