Header Ads

Breaking News
recent

MSANII WA BONGO MOVIE ALIYEFARIKI NI JOHN STEPHANO MAGANGA.


HABARI: Msanii wa filamu nchini Tanzania John Stephano Maganga alifariki dunia katika hospital ya Muhimbili kutokana na Ugonjwa wa KONGOSHO ambao ulikuwa ukimsumbua kwa mda mrefu.

Hali ya Marehemu ilibadilika na kuvimba tumbo ghafla, hali iliyopelekea kufanyiwa Upasuaji ili kuokoa Maisha yake lakini ilishindikana na hatimaye kupoteza uhai wake.

Msiba wa Marehemu John Stephano Maganga uko nyumbani kwao Mwananyamala na taarifa za mazishi zitatolewa

Enzi za uhai wake marehemu aliwahi kuigiza filamu kama Mrembo kikojozi, Chanzo ni mama , Barmaid na nyinginezo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.