SWAHILI FASHION WEEK 2012 YAANZA KUSAKA WASHIRIKI
![]() |
Majaji wakifanya usahili. |
Mchakato wa kuanza kwa Swahili Fashion Week 2012 umeanza
ambapo wanamitindo wa kike na wa kiume watakaoshiriki katika Swahili Fashion
walikuwa wakifanyiwa usahili Golden Tulip ambapo majaji walikuwa muandaji wa
Swahili Fashion Week,Martin Kadinda na mtangazaji wa Nirvana ya EATV Deo.
![]() |
Wanamitindo wakike wakiwa katika usahili. |
![]() |
Wanamitindo wakike wakifanyiwa usahili. |
![]() |
Wanamitindo. |
Swahili Fashion Week inatarajiwa kuanza December tarehe 6,7
na 8
Picha na AnnaPeter blog.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA