Msanii Keri Hilson kupiga tamasha mwezi ujao Tanzania.
Tanzania mko tayari kumshuhudia hit-maker wa Knock You Down mrembo
Keri Hilson? Kama bado basi mashabiki wake anzeni kuuchanga mdogo mdogo
sababu the diva is dropping to the land of Kilimanjaro next month!! We
ain’t tripping at all sababu Keri amethibitisha mwenyewe jana habari
hizi kwenye ukurasa wake wa Twitter:

Source: Bongo5
Source: Bongo5

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA