JOSEE CHAMELEON: "HAPPY BIRTHDAY MY DARLING WIFE DANIELLA ATIM MAYANJA".
Kubali au kataa, Jose Chameleone ni miongoni mwa wasanii wa Afrika
Mashariki wenye wake warembo zaidi. Haipiti wiki hajamtaja kwenye
ukurasa wake wa Facebook na hakika kwa urembo huo wa Daniella, mzee wa
Valuvalu ana haki ya kudata.
Jana ilikuwa ni birthday ya mke wake huyo aliyezaa naye watoto watatu
na aliamua kumwangushia party ya nguvu kwenye kisiwa chake cha Leone.
“Happy birthday my darling wife Daniella Atim Mayanja. May you live
to blow a million candles. Fans and Leone island family u are invited to
the pary today! @ berbeque lounge centenary park starting 8pm, leone
island tugende tukole,” aliandika.
Tunajiuliza amempa zawadi gani awamu hii!
Tunajiuliza amempa zawadi gani awamu hii!

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA