Header Ads

Breaking News
recent

EPIQ BONGO STAR SEARCH 2012 YAMLIZA MADAM RITA.


Madam Rita akilia kwa uchungu wakati mshiriki aliyetambulika kwa jina la Walter Chilambo ambaye ndiye mshindi wa shindano hilo alipokuwa akiimba wimbo wa Ben Pol.

 Madam Rita akijifuta machozi.

Majaji wa EBSS kulia ni Master J, katikati ni Madam Rita ambae ndio jaji mkuu wa EBSS na kushoto ni Salama.
 
Walter Mshindi wa EBSS akiokota tunzo za mashabiki baada ya kuimba.

Msanii Linah akiwa na Amin wakati wakitoa burudani EBSS.


Salma Yusuf akiwa na Walter Chilambo wakiwa wanangoja kupata matokeo ya mshindi wa EBSS.

Walter Chilambo hakuamini alipotajwa kuwa yeye ndie mshindi wa EBSS 2012, bali alikaa kwanza chini.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.