DIAMOND ASHINDA TUZO MARA MBILI MOMBASA NCHINI KENYA.
![]() |
| Diamond |
Kwa miaka miwili mfululizo Daimond amekuwa ni mshindi wa
Tuzo za Nzumari kama Best Male Artist kutoka Tanzania.Tuzo hizo hufanyika kila
mwaka huko Mombasa.Baadhi ya washindi wengine ni kutoka Nairobi ambapo Tuzo ya
Msanii bora wa kiume Nairobi imeenda kwa Octopizo, na ya msanii wa Kike kutoka
Nairobi imekwenda kwa Muthoni da Drama Queen.
Tembelea AnnaPeter blog.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA