Huu
ni muonekano mpya wa msanii wa muziki wa Bongo Flavour, Daz Baba wa Daz
Nundaz ni baada ya kunyoa Rasta zake na ukimuangalia kwa haraka unaweza
usimtambue kama ni yeye.....
Source:Thisisdiamond.com
DAZ BABA BAADA YA KUNYOA RASTA, HUU NDIO MUONEKANO WAKE MPYA.
Reviewed by
KISHINDO TZ
on
Thursday, November 15, 2012
Rating:
5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA