Header Ads

Breaking News
recent

CHRIS BROWN AMEDELETE ACOUNT YAKE YA TWEETER BAADA YA KUSHINDWA KUHIMILI MALUMBANO.




Jenny Johnson & Chris Brown
Kidume cha Rihanna yani Chris Brown leo hii ameamua ku delete (kufuta) acount yake ya Tweeter baada ya kurushiana maneno na mchekeshaji Jenny Johnson katika mtandao huo wa Tweeter.

Maamuzi hayo yamefikiwa baada ya kuwa na malumbano kati ya mchekeshaji huyo na Chris Brown kuhusiana na uhusiano wake na mwanadada Rihanna.

Hii si mara ya kwanza kwa msanii Chris Brown kufanya vituko Tweeter na kuishia kuipiga chini acount yake ya Tweeter. Mwezi Novemba 2011 msanii huyu pia aliamua kufuta acount yake, baada ya kuwa na malumbano kuhusiana na mahusiano yake na Rihana.

Kabla ya Chris Brown kufuta acount yake, unajua alichoandika? Aliandika hivi..... "Just ask Rihanna if she mad." alafu akaipiga chini acount yake ya Tweeter.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.