Header Ads

Breaking News
recent

50 Cent New Single ft. Eminem & Adam Levine - "My Life"


   Single mpya ya 50 Cent aliyowashirikisha mastaa wawili wa miondoko ya hip hop yani Eminem na Adam Levine hatimae imekwisha  kamilika.

Single hiyo inayokwenda kwa jina la "My Life" itadondoka katika mtandao wa iTunes kesho, na itaanza kutumika kesho hiyo hiyo katika show ya Adam Levine inayoitwa "The Voice".

Kipande cha video ya wimbo huo kiachiliwa jana. Tembelea blog hii kwani nitakuwekea ngoma hii hapa na utapata kuisikiliza hapa hapa, ikibidi uidownload kabisa.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.