|
Rizy na Mwirora wanaounda kundi la Mecca Cheka warudi toka
Nairobi,Kenya baada ya kushiriki kikamilifu katika Pamoja Kids Concert iliofanyika
Village Market Nairobi siku ya jumapili tarehe 30 September mwaka huu.
"Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama,mwendo wa shuttle
kikubwa kabisa mpaka jiji la Kibaki
mapokezi mazito toka kwa Sister Kakii ambaye ndiye mwenyeji wetu, mapumziko ya kutosha katika apartments
tulizotengewa ready for makamuzi ya hatari for fans wetu wa Nairobi kesho yake.
Tumejifunza mengi, muziki
wetu unakubalika kuliko maelezo na Mecca Cheka tumewakilisha vizuri pande za Kenya
na shukrani tele ziende kwa washabiki zetu all over Arusha kutusupport hadi
kutambulika nchi jirani ,Familia zetu,Producers wa ngoma zetu na Media house
zote Zinazo support Mecca cheka movements.
Huu ni mwanzo tu wa safari yetu ya kimuziki watu wetu pande
za Kenya wategemee show nyingine pande za Mombasa mwisho wa Mwaka huu kwa sasa
tumerudi fit pande za hom tunajipanga kurecord pini mpya kadhaa pande za
noizmekah studios.
pata nyimbo zetu hapa.... http://www.hulkshare.com/dl/zeeczxjuo5j4/Meccacheka-cheka%20ung%27atwe%20(noiz)?d=1
|
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA