Header Ads

Breaking News
recent

WAREMBO WA MISS REDD'S TANZANIA WAKIWA WAMEVALIA MAVAZI YA ASILI YETU.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Picha za warembo wa Redd's miss Tanzania wakiwa wamevaa mavazi ya asili yetu, wakati walipomtembelea waziri mstaafu Edward Lowasa Monduli mkoani Arusha.

Hakika mavazi haya ya kiasili yaliwapendeza warembo hawa, wakiwa ndani ya himaya ya Lowasa.

Edward Lowasa akisalimiana na mmoja wa warembo wa Miss Tanzania, nyumbani kwake Monduli.

Lowasa akisalimiana na mrembo wa miss Redd's.


No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.