Header Ads

Breaking News
recent

PLANET BONGO: WASIKILIZE WASANII WALIVYO MZUNGUMZIA MWL. JULIUS NYERERE KUPITIA MISHE ZA WIKI NA KENEDY THE REMEDY NDANI YA EAST AFRICA RADIO.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Hizi ndio mishe za wiki na Kenedy siku ya jana Jumamosi, kama hukuweza kumsikiliza kupitia kipindi cha Planet Bongo, wasanii kibao wamefunguka kumuenzi muasisi wa taifa la Tanzania, ambapo sasa ametimiza miaka 13 tokea atutoke octoba 14. 1999. wasikilize hapo chini.

Hata hivyo mbali na hivyo pia wamezungumzia wasanii waliochaguliwa kushiriki katika tuzo za KISIMA zitakazofanyika Novemba 2 mwaka huu huko nchini Kenya.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.