MAUWAJI YA KAMAND BARLOW - UCHUNGUZI MKALI WAANZA MKOANI MWANZA.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
IGP Said Mwema ameeleza kuwa uchunguzi wa mauwaji ya aliyekuwa RPC wa Mkoan wa Mwanza marehemu Libenatus Barlow, tayari amekwisha tuma mpelezi wa kuchunguza kifo cha kamanda huyo, na hadi kufikia sasa wameshamtia nguvuni mtuhumiwa mmoja.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA