Asili Yetu Tanzania.Copyright
 |
|
Kwa mujibu wa
Katibu wake, Abdallah Said Ally, amesema alikuwa na dereva wake maeneo ya
Michenzani akitokea nyumbani kwake Mbuyuni, ndipo akakutana na gari moja ambalo
dereva halifahamu na akashuka mwenyewe kwenye gari lake na kuingia katika hilo
gari na kuanzia hapo hadi sasa hajulikani alipo.
Katibu huyo wa
Uamsho na wenzake wamekuwa katika juhudi za kutuliza jazba za wafuasi wao na
sasa wanawasiliana na polisi kujua alipo kiongozi wao.Habari zaidi baadae
|
Huyu ndiye Kiongozi wa Kundi linaloitwa UAMSHO la Zanzibar
Sheikh Farid anayesadikiwa kukamatwa
huko Visiwani Zanzibar. Kundi hilo shughuli zake ni za mihadhara ya Kidini hasa
ya Kiislam.Picha zote na akhtarissak
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA