Asili Yetu Tanzania.Copyright
 |
|
Mmoja wa wafuasi wa kikundi cha waislamu wenye imani kali
akidhibitiwa na polisi mara baada ya kukamatwa leo katika kituo kikuu cha
polisi Kati wakijaribu kuandamana ili kushinikiza kiongozi wao Katibu wa
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Sheikh Ponda
Issa Ponda kuachiwa na jeshi la polisi mara baada ya kukamatwa jijini
Dar es salaam kwa kudaiwa kusababisha vurugu.
|
 |
|
Polisi wakiwa tayari kwa kudhibiti maandamano hayo katika
kituo kikuu cha Reli karibu na polisi kati jijini Dar es salaam leo mchana.
|
Habari na picha...Globle publishers
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA