Header Ads

Breaking News
recent

TIGO PAMOJA NA TAASISI YA HASSAN MAAJAR WAKABIDHI MADAWATI 680 MKOANI NJOMBE.

Asili Yetu Tanzania.Copyright


Taswira ya tafrija ya makabidhiano ya madawati 680 kutoka kwa Hassan Maajar Trust na Tigo, yalitolewa Shule ya msingi Ruhuji kwa wilaya za Njombe,Makete,Ludewa na Wangi'ngombe  yaliofanyika 22 Oktoba.Mgeni rasmi, Kapteni mstaafu Asery Msangi alikabidhi madawati kwa maDC wa wilaya hizo tano na kuwashukuru Tigo na Hassan Maajar Trust (HMT)  kwa projekt hii ya madawati iliyochangiwa na 'Tigo Tuchange' . Kutoka HMT alikuwepo Mkurugenzi Zena Maajar Tenga na Kutoka Tigo Meneja Mauzo mkoa wa Iringa Ladislaus Karlo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.