Header Ads

Breaking News
recent

'SEAN COMBS' - "P DIDDY" APATA AJALI, GARI LAKE LAHARIBIKA VIBAYA.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

 Juzi kati msanii kiongozi wa kundi la Bad Boy 'Sean Combs' maarufu kama 'P Diddy' alipata ajali akiwa katika matanuzi yake. Diddy akiwa na dereva wake walikutana uso kwa uso na gari lililokuwa mbele yao, hatahivyo chanzo cha habari kimeeleza kuwa P Diddy, Dereva wake na Deereva wa ile gari nyingine hawakuumia sana japokuwa wote walikuwa wakilalamika kuwa na maumivu mwilini, hivyo walipata matibabu na sio kulazwa.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.