P DIDDY KIONGOZI WA BAD BOYZ BAADA YA AJALI YA GALI, AAMUA KUTEMBEA KWA MIGUU.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
CEO wa Bad Boy records P. Diddy ameamua kutumia vitendo
kuweka msisitizo katika taarifa kuhusu maendeleo ya afya yake siku tatu baada
ya kupata ajali ya gari maeneo ya Los
Angeles.
Fans wa Sean Combs Diddy wa Dirty Money inaonekana wamepata
majibu kwa vitendo baada ya kali huyo kuamua kupiga misele kwa mguu katika
mitaa ya Hollywood huku akionekana yuko fit kiafya na anatembea kwa swag kama kawaida yake.
Hii ni baada ya kuwashukuru fans wake na utawala wa juu wa Los Angeles kwa sapoti yao kupitia account yake ya twitter siku moja
kabla ya kuonekana mitaani akipiga misele.
“The only reason I’m still here is through Gods Grace!!! Not
trying to be dramatic just being Real! God Bless All! Let’s go!,” alitweet
October 26, na akaongeza “ Thank you for all you prayers support and Calls!
Thank you for caring about a brother): I means a lot. Love yall!!! Let’s
go!!!”.
Taarifa iliyotolewa na watu wa karibu wa Sean Combs P. Diddy
baada ya ajali hiyo ya gari ilisema rapper huyo alipata injuries shingoni,
mbavuni na sehemu nyingine na alikuwa anapata matibabu nyumbani kwake akiwa
chini ya uangalizi wa daktari wake binafsi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA