KANISA KATORIKI LA MTAKATIFU 'RITA' LAPIGWA BOMU LA KUJITOA MUHANGA.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
![]() |
| Hivi ndivyo hali ya mripuko ulivyokuwa |
Chanzo kimeeleza kuwa wakati wa misa ya asubuhi, alitokea mtu mmoja ambaye hakufahamika mara moja na kudai kuingia na gari lake katika eneo la kanisa hilo, lakini walinzi walimzuia kuingia na gari hilo, lakini mtu huyo alilazimisha na kugeuza gari hilo kwa nguzu na kugonga geti la Kanisa na kufanikiwa kuingia, hapo ndipo bomu hilo lililokuwa ndani ya gari liliporipuka na kuwadhuru waumini pamoja na Padri wao.
Habari zaidi bado hazijasema kitu chochote kuhusu mripuko huo, lakini polisi wa Nigeria wameweka ulinzi mkali katika eneo hilo.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA