PICHA ZA RICK ROSS WAKATI AKIPIGA SHOO SERENGETI FIESTA 2012 JIJINI DAR ES SALAAM TANZANIA - (PHOTOS) RICK ROSS IN TANZANIA.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani, William Leonard
Roberts II 'Rick Ross' usiku huu amehitimisha burudani za Serengeti Fiesta kwa
mwaka huu baada ya kupiga shoo bab kubwa ndani ya Viwanja vya Leaders Club.
Msanii huyo amewapagawisha mashabiki ambapo wengine wameshindwa kujizuia na
kujikuta wakitaka kuvunja uzio ili angalau waamsogelee karibu kitendo kilichowapa kazi ya ziada mabaunsa
waliokuwa katika viwanja hivyo.
Huu ndio umati uliojitokeza katika Serengeti fiesta 2012 katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam.
![]() |
| RICK ROSS |
| Mashabiki wakipagawa na shoo ya BIG BOSS RICK ROSS |
Wakati Rick Ross akiangusha shoo ya kimataifa Bongo.
| HII NI SEHEMU YA MBE YA GARI ALILOKUJA NALO BIG BOSS RICK ROSS. |



Naona mdg zetu wale wajivuni wa Mziray wamempandisha kwenye ndinga zap,baby kubwa!!!!!!!!!!..........
ReplyDelete