PICHA ZA WASANII WA TANZANIA WALIOIMBA KATIKA SERENGETI FIESTA 2012.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Diamond Platinum ni mmoja wa wananii wa Bongo walioangusha shoo ya ukweli katika Serengeti fiesta 2012 pamoja na wasanii kibao pichani hapa chini.Cheki picha kibao hapa.
![]() |
![]() |
| DIAMOND |
NEY WA MITEGO
CHEGE
SHILOLE
OMMY DIMPOZ
T I D
RACHEL
Viuno vilipewa nafasi yake kuonekana hadharani na nyonga kunyonga visivyo kawaida wakati msanii AT akipiga shoo katika Serengeti fiesta 2012.
Kwa mashabiki wa muziki wa AT waliburudika sana tu.
| Wanaume familly nao waliangusha shoo. |
Watu kibao walishow love kujitokeza katika Serengeti fiesta 2012.
















No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA