Asili Yetu Tanzania.Copyright
Picha hii ya kwanza ni ya kamanda Barlow wakati wa uhai wake, na hapo chini ni wakati mwili wake ukiagwa mkoani mwanza.
 |
Afande George Msangi akiongoza ratiba za kumuaga aliyekuwa
kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Liberatus Ballow aliyeuawa usiku wa
kuamkia jumamosi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi katika eneo la Kitangiri
karibu na Hotel ya Tai Five.
|
 |
Viongozi mbalimbali wa Kiserikali wakisimama kwa dakika
chache kuupa heshima mwili wa marehemu kamanda Liberatus Barlow.
|
 |
Wanafamilia wa marehemu kamanda Liberatus Ballow wakiwa na
majonzi makubwa sana katika uwanja wa Nyamagana wakati wa kuuaga mwili wa mpendwa
wao Liberatus Barlow.
|
 |
Maafisa wa Majeshi aina mbalimbali kutoka Tanzania
wakionekana katika hafla la kuuaga mwili wa marehemu kamanda Liberatus Barlow.
|
 |
Hapa wakiushusha
kutoka ndani ya gari ili waweze kuubeba.
|
 |
Safari ya kuelekea sehemu maalum iliyopangwa kwa ajili ya
mwili wa marehemu ilianza hiviii..
|
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA