NOLLYWOOD'S STAR "OMOTOLA JALADE EKEINDE HONOURED WITH BEFFTA FILM ICON AWARD.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Omotola (Picha kutoka katika album)
Mcheza filamu mwenye mvuto "Omotola" kutoka Nigeria, ambaye amekwisha nyakua tuzo kibao za mchezaji fimau hodari nchini humo, sasa ametunzwa kama mcheza filamu aliyeshiriki katika filamu za Africa, Ulaya na kimataifa.
'Omotola' amepokea tuzo hiyo ya heshima ya "BEFFTA" kutoka "Black Entertainment Film Fashion Television and Arts
(BEFFTA) Awards.
OMOTOLA



No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA