"DEAR GOD" YA KALA YAWAKUNA MASHABIKI WA MUZIKI, AJIPANGA KUDONDOSHA ALBUM.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Msanii anayefanya poa hivi sasa na ngoma ya 'Dear God'
amesema kuwa toka atoe wimbo wake wa 'Dear God' amepata maombi mengi kutoka kwa
washabiki wangu wakitaka yeye kutoa album.Kala alisema kuwa kutokana na maombi
hayo ya mashabiki anafikiria kutoa album yake ya kwanza na si kwaajili ya
kufanya biashara bali ni kwaajili ya kuwaridhisha mashabiki. Cheki hapa 'Annapeter' kwa story zaidi.
KALA


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA