PICHA ZA UZINDUZI WA USAFIRI WA TREN JIJINI DAR ES SALAAM.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
| Treni tayari ikiwa katika mwendo, ndani ni abiria wakifurahi na kuchukua picha kwaajili ya kumbu kumu. |
Treni ikiwasili Kituo cha Ubungo Maziwa.
Kwa usafiri wenye utulivu kama huu kwanini usijisomee kwenye treni..
Ukaguzi wa tiketi ndani ya treni.
Usafi wa Ndani ya Treni
Baadhi ya Maeneo yakiendelea na Matengenezo.
Tiketi zikikatwa ndani ya treni.
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ndani ya treni.
Hapa ndipo wanapotangaza na kutoa burudani ndani ya treni.
Baadhi ya abiria wakishuka na kupanda kwenye treni.
Baadhi ya abiria wakiingia kwenye treni.
Ulinzi ni Mkali
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (katikati) akiwasili
kupanda treni kituo cha tazara kuelekea mjini kufanya uzinduzi. (Picha kwa hisani ya hakingowi.com)
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA