Asili Yetu Tanzania.Copyright
 |
| Huyu ni msichana ambaye anakaribisha watu wanaofika kuosha magari
ukifika kwenye Car Wash ya Msanii Jaffarai ilyofunguliwa siku si nyingi
eneo la Mikocheni, Oil Com anatabasamu zuri na mchangamfu kama
unavyomwona, anaitwa Irene. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA