MSANII WA FILAMU FLORA MVUNGI AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA H BABA.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
MWIGIZAJI zao la mchezo wa Bongo Dar es Salaam, Flora Mvungi
amevishwa pete ya uchumba na Hamis Baba ‘H-Baba’ baada ya kuishi kinyumba na
mwanaume huyo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Akifunguka kwa paparazi wetu jijini Dar es Salaam juzikati,
Flora alisema safari yao ya kuelekea kuoana na H-Baba ilipigwa vita na wengi
lakini kwa sasa anamshukuru Mungu dalili za ndoa zinanukia.
“Kuna baadhi ya ndugu waliweka pingamizi mimi na H-Baba
kufikia hatua hii, nilisubiri sana, hatimaye jamaa kaleta posa nyumbani na
kanivisha pete ya uchumba,” alisema Flora.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA