Header Ads

Breaking News
recent

MSANII MAARUFU WA FILAMU "MEGAN FOX" AMETANGAZA KUJIFUNGUA MTOTO WA KIUME.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

 Mwanadada nyota wa filamu Megan Fox ametangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika ndoa yake na mumewe Brian Austin Green wamepata mtoto wa kiume waliyemuita "Noah Shannon Green".

Fox na Green walioana mwaka 2010, na huyu ndio mtoto wao wa kwanza.Mpango wa wa kwanza wakati wanaanza kufuatiliana ulikuwa mwakwa 2004 wakati Green (mume) alionekana kwenye TV show ya kipindi cha "Hope & faith" ambacho Fox alikuwa anajukumu la kukisapoti.

Ukiachilia mbali na mtoto mpya aliyezaliwa na wanandoa hawa, Green tayari alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa "Kassius" ambae ni mtoto wa nje aliyezaa na mcheza filamu "Vanessa Marcil".

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.