MCHEZAJI WA MPIRA MWENYE MASHABIKI WENGI NA "Likes" MILIONI 50 FACEBOOK.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
![]() |
| CRISTIANO RONALDO |
Wiki hii Cristiano Ronaido ameibuka wa kwanza katika dhidi ya michezo yote duniani kwa kuwa na "Likes" milioni 50 katika ukurasa wake wa Facebook.
Huku Messi akishika nafasi ya pili kwa kuwa na "Likes" milioni 38.5 katika ukurasa wake wa Facebook.Na nafasi ya tatu ameshika David Beckham kwa kuwa na "Likes" milioni 21.5.
Kwa upande wa Marekani mchezaji Michale Jordan ameongoza kwa kuwa na "Likes" milioni 20 katika ukurasa wake wa Facebook, akifuatiwa na Kobe Bryant akiwa na "Likes" milioni 16 huku LeBron James akishika nafasi ya tatu akiwa na "Likes" milioni 12.5 katika ukurasa wake wa Facebook.
Ronaldo ana milioni 12 "Likes" katika orodha ya watu maarufu duniani, akifuatiwa na Rihanna mwenye "Likes" milioni 62. Akifuatiwa na Emminem (61.5 million), Shakira (55 million), Lady Gaga (53.3
million) and Michael Jackson (52 million), Katy Perry (48
million) and Justin Bieber (47 million).
Cristiano Ronaldo mchezaji kutoka Ureno aliandika katika ukurasa wake wa Facebook....
Reaching 50.000.000 likes is unbelievable ..."I want to thank
you, you you, you and everyone who have been supporting me all these years. I
really want us to keep sharing all the good moments together - and the best is
still to come. THANK YOU ALL"
Kumbuka robo ya idadi hiyo iliyo "Like" katika ukurasa wa Cristiano ni ndani ya masaa 24 tu.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA