Header Ads

Breaking News
recent

MAANDAMANO ZANZIBAR: JENGO LA CCM KIKONGE LACHOMWA MOTO

Asili Yetu Tanzania.Copyright

Jeshi la Polisi lilionekana likifanya Doria katika sehemu hio ilikuweka hali ya Usalama.Picha na Yussuf Simai-Maelezo-Zanzibar
 Jengo la Maskani ya kisonge lililochomwa moto na watu wanaodaiwa ni wafuasi wa Sheikh Faridi wakisindikiza kuachiwa kwa Sheikh wao huyo ambae wanadhani amekamatwa na Polisi baada ya kutomuana kwa siku Nzima,Jeshi la Polisi limekanusha kumkamata Sheikh huyo na kuwaomba wananchi kushirikiana 

Tukio la kuchomwa Moto Maskani ya CCM Kisonge limesababisha pia mali na baadhi ya Vyombo vilivyokua hapo kuteketea kwa Moto kama inavyoonekana Vespa iliowekwa eneo hilo ambayo mmiliki wake hajajulikana ikiteketea.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.