Header Ads

Breaking News
recent

JUSTIN BIEBER AIBIWA LAPTOP YAKE, NA VIDEO YAKE MPYA YATUPIWA MTANDAONI KINYAMERA.

Asili Yetu Tanzania.Copyright


Madai ya Justin Bieber kuibiwa compyuta aina ya Laptop mjini Washington ndani ya Tacoma Dome siku ya Jumanne wakati akipiga shoo pande hizo, yameibuka jana baada ya msanii huyo ku- tweet kwa mashabiki wake zaidi ya milioni 29, kuwa ameidibiwa Laptop na baadhi ya vipande vya video zake mpya kutupiwa mitandaoni kinyume na utaratibu.

Stori hii imeibuka baada ya mtu mmota kuandika katika mtandao wa tweeter kuwa yeye ndiye mwenye laptop ya Bieber, na mtu huyo kuweka kipande chavideo hiyo tweeter na kum-tag  Bieber.

                                  JUSTIN BIEBER WAKATI AKI PERFORM HIVI KARIBUNI

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.