Header Ads

Breaking News
recent

JAY - Z KUONEKANA LIVE WAKATI WA CONCERT YAKE - NEW YORK BARCLAYS CENTER, KUPITIA UFUNGUZI WA CHANNEL YAKE MPYA YA YOUTUBE.

Asili Yetu © All rights reserved

JAY-Z
 Msanii wa miondoko ya rap Jay - z ametangaza kuwa katika show yake ya nane ambayo ni yamwisho itaonekana live kupitia wakati wa ufunguzi wa channel yake mpya ya YouTube.New York City's Barclays Center.

Jay - z amefunguka kuwa siku ya Jumamosi hii ya tarehe 6 ataonekana wakati aki-perfom live mida ya saa 9:30 kwa saa za kwao kupitia channel yake ya YouTube inayoitwa LIFE & TIMES CHANNEL.

Jay-Z's new channel is part of an original programming initiative by YouTube, owned by Mountain View, Calif.-based Google Inc. Life and Times promises a lineup of "in depth lifestyle pieces" based on the tastes and interests of Jay-Z.
The rapper is christening the Barclays Center with a weeklong series of shows. The arena is the home of the NBA's Brooklyn Nets, of which Jay-Z is a minority owner.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.