Asili Yetu Tanzania.Copyright
 |
| Habari njema kwa wakazi wa Bukoba na Morogoro, kwani sasa wataweza kujiachia na vipindi bora na vya kijanja wakati wote, ambapo wakazi wa Bukoba wataisikiliza East Africa Radio kupitia masafa ya 89.8 na mji kasoro bahari yani Morogoro, wataikamata kupitia masafa ya 102.8. Wewe kama ni mjanja na huwa unapeda kujiachia na vipindi vya radio, basi cheki masafa haya ili ujiachie na vipindi mbali mbali vya East Africa Radio. |
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA