BOBBY BROWN AKAMATWA TENA LEO ASUBUHI HUKO LOS ANGELES.
Asili Yetu Tanzania.Copyright
Ni miezi miwili tu baada ya taarifa kutoka kuwa 'Bobby Brown' atafanyiwa upekuzi katika ripoti zake zote za makosa yanayohusiana na madawa ya kulevya pamoja na pombe, lakini mwimbaji / mtunzi huyu leo asubuhi amejikuta katika matatizo yanayohusiana na pombe kinyume na kisheria.
Los Angeles Idara ya Polisi inathibitisha kwamba saa 1:00 asubuhi Jumatano, Brown alikamatwa katika LA kwa kuendesha gari wakati akiwa ameathiriwa na pombe.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA