Header Ads

Breaking News
recent

TAYLOR SWEFT ALBUM "RED" - IMESEHENI NYIMBO KALI 11.

Asili Yetu Tanzania.Copyright

 Album mpya ya mshindi bora wa kike wa nyimbo za 'country katika tuzo za Grammy, 'Taylor Swift' inayokwenda kwa jina la "RED" sasa ikotayari ikiwa imejipanga vya kutosha, huku ndani yake kuna nyimbo 11 ambazo hujawahi kuzikia katika mtandao wa internet.

Chanzo kinaeleza kuwa album hii iko kitofauti sana kuliko album zote alizokwisha ziachia Taylor Swift, kwani time zile alikuwa bado binti mdogo na sasa amekwisha kuwa ndiomaana katika hiyo picha hapo juu ambayo ndio album cover ya juu haonekani macho vizuri (inamaanisha hana mzaha na bishara).
Kuna tetesi kibao kuwa wanamuziki wanaotoa picha za album cover wakiwa nusu gizani, huwa album hizo zinashirikiana na nguvu za giza.....sijui kama ni kweli?

 TAYLOR SWIFT

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.