Asili Yetu © All rights reserved
Wi Khalifa na Amber Rose.
Wiz Khalifa na Ember Rose wafata nyayo za Beyonce na Jay - Z ikiwa ni baada ya mastaa hawa kutangaza hadharani katika tuzo za MTV "Video Music Awards 2012" kuwa wanatarajia kupata mtoto kwa siku za usoni.
Ilikuwa ni bonge la siri kwa wawili hawa kuwa Amber ni mjamzito, hatahivyo ni siku chache kabla ya kufanyika tuzo za MTV, Wiz alihojiwa na radio moja akafunguka kuawa "Nahitaji watoto". Yani kiukweli nahitaji kuwa na watoto" japokuwa hakuwa muwazi kwa idadi ya watoto anaohitaji.
Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa hii blog, nimekuwa nikifuatilia na kuandika habari na mahusiano ya hawa masupa staa, hadi kufikia sasa Amber Rose amemwaga mchele kwenye kuku wengi kuwa anaujauzito wa mchumba wake Khalifa.
Umezisoma hizo swagga za Wiz na don't touch my shoes? Suruali utazani anavuka mto!!!!!.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA