Asili Yetu © All rights reserved
Malfredy ameachia wimbo wenye mahadhi ya ragga dancehall inayokwenda kwa jina "My Desire" iliyofanywa na "Record House" chini ya Producer "Elly" wa nchini Uganda. video ya wimbo huu inabang katika media mbalimbali za hapa nyumbani huku kampuni iliyogonga mpango huu wa video ikiwa ni "SPK FILMZ/next edition" ya huko huko Uganda. Much Love & Support Tanzanian Music.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA