Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ilboru iliyoko mkoani Arusha wameandamana hadi katika ofisi za mkuu wa mkoa Arusha wakilalamikia kufanyiwa vitendo vya kuonewa na mkuu wao wa shule.
WANAFUNZI ILBORU MKOANI ARUSHA WAANDAMANA WAKILALAMIKIA UONEVU WA MKUU WA SHULE.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, September 24, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA