Header Ads

Breaking News
recent

RAIS KIKWETE AKEMEAUVUMI UNAOENEZWA KUWA UHAI WA CCM UMEFIKIA KIKOMO.

Asili Yetu © All rights reserved

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM,Rais Jakaya Kikwete amekanusha na kukemea uvumi unaoenezwa na baadhi ya wanasiasa na wanaharakati mbalimbali kuwa uhai wa chama hicho umefikia kikomo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.