Asili Yetu © All rights reserved
Serikali imeunda tume maalum ya kuchunguza vurugu na mauaji yaliyotokea mkoani Iringa na kusababisha kifo cha mwandishi wa habari wa kituo cha utangazaji cha Chanel ten ambapo tume hiyo itapaswa kufanya kazi ndani ya mwezi mmoja na iwe imetoa ripoti yake.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA