Serikali imetoa muda wa miezi tisa kwa mkandarasi wa kampuni ya Khalafi ya nchini Kuwait aliyeteuliwa kujenga barabara ya Ndundu Somanga kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo ifikapo mwezi June mwakani.
SERIKALI IMETOA MIEZI TISA KWA MKANDARASI WA KAMPUNI YA KHALAFI KUMALIZA UJENZI.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Sunday, September 09, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA