Header Ads

Breaking News
recent

PICHA ZA MISS UNIVERSE 2007 FLAVIANA MATATA AKIWA BBC.

Asili Yetu © All rights reserved

Flaviana Matata akiwa katika Studio za BBC Swahili, alipokuwa akiweka wazi maisha yake ya umodel.
Hapa alikuwa live ndani ya BBC Idhaa ya Kiswahili.
FLAVIANA MATATA
Flaviana Matata (kulia) akiwa na mtangazaji wa BBC Kassim Kayira.
Flaviana akiwa na Jestina George - blogger wa London wakiwa BBC.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.