Header Ads

Breaking News
recent

JAJI "LUIS LAVIN" AMEIRUHUSU FILAMU YA INNOCENCE OF MUSLIMS KUENDELEA KUWEPO YOUTUBE.

Asili Yetu © All rights reserved

CINDY LEE GARCIA - MMOJA WA WAIGIZAJI KATIKA FILAMU HIYO.
 Wakati maandamano ya filamu ya "Innocence of muslims" yakiendelea sehemu mbali mbali duniani, leo waislam wameandamana kuilaani Marekani kwa kutoa filamu inayodaiwa kumdhihaki mtume wao Muhammad.

Ikuru ya Marekani nayo imeitaka kampuni ya YouTube kuiondoa trela yenye dakika 14 ya filamu hiyo. Kwa upande wa YouTube imekataa agizo hilo kuwa filamu hiyo haijakiuka sheria na taratibu za mtandao huo.

Naye jaji "Luis Lavin" ametoa agizo lakutoiondoa filamu hiyo katika mtandao wa YouTube.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.