Baadhi ya madaktari wanaofanya kazi chini ya usimamizi wa madaktari bingwa wameomba radhi kwa wananchi na serikali kutokana na madhara ya mgomo wa madaktari ulifanyika mwezi juni mwaka huu.
MADAKTARI WAOMBA RADHI KUTOKANA NA MADHARA YA MGOMO WA MADAKTARI.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Tuesday, September 18, 2012
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA